Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20211025-WA0011.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's end it here..
Ujue ndoa ni kama taasisi, unapokwenda kuomba kazi kwenye taasisi yeyote,kampuni yeyote lazima wa ku jaribu..
Same na ndoa , kusema anayejaribu ni mungu pekee, nah! Sikubaliani nalo, kwenye ajira tu tunajaribuwa itakuwa ndoa..

Anyway sio mbaya kujadili na kila mtu kutoa mawazo yake, tusifanye iwe very sensitive.. pia tusichukulie personal

Thanks Karma
Haha kwenye ajira unalipwa mshahara boss. Haijalishi taasisi au kampuni itaingiza faida au hasara ila wewe mshahara wako unatakiwa kuwa pale pale.

Kwenye ndoa mwanamke kuhudumiwa ni directly proportional na kipato cha mumewe. Siku akiwa nazo ndiyo anampa ila siku akiwa hana imeisha hiyo.

Hapo nimekupa tofauti moja tu. Ila kuna tofauti nyingi kati ya taasisi hiyo iitwayo ndoa na taasisi za ajira.

Anyway nimekupata mkuu. Tuko pamoja.
 

Nimezungumzia side yangu kama mwanaume ..

Mwanamke pia atazungumza kuhusu mwanaume kama jinsi anavyowaona.

Wakati mwingine inaweza kuwa sio sahihi kujizungumzia cause utajipa sifa na kuvutia kwako..

That's why nimeacha blank kwa wanaume na nyie wanawake mzungumze kuhusu mwanaume..

Nakubali sana hoja zako, and wote hatujakamilika..
Nashukuru wewe ni muelewa nami pia nakubali hoja zako. Kuna wanaume wengine huwa hawataki kukubali kuwa jinsia zote hazijakamilika wao husema kuwa mwanaume hakosei na mwanamke ndiyo chanzo cha matatizo yote duniani.

I hate that statement. 'Cause it sounds misogynistic.
 
Wanajiona nani Sijui!
As if ndoa wao haiwafaidishi.

Yaani Wanaume wanaonaga kama ndoa ni zawadi kwa mwanamke pekee.


Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kumbe ulikuwa haujui! Nenda kule mmu kwenye mada za ndoa uone wanavyodanganyana ati ndoa ni heshima kwa mwanamke inamheshimisha mwanamke tu siyo mwanaume!

Na wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ati ndoa ni utumwa kwa mwanaume ila ni neema kwa mwanamke! Ila ukiangalia uhalisia nje ya mitandao unabaki kusikitika tu!
 
Kwanza wamewapanga wasichana utadhani DJ anavyopanga ngoma za kupiga club(kwa sauti ya Chakorii )
Halafu bado hapohapo Eti wanatupima !
Wanachopima Sasa ndio kinachosha ziaidi..eti wanapima kuvumilia shida.


Yaani umasikini unafanya Watu waone kuvumilia shida ni sifa na ndio mapenzi.!
Wanawake wanaovumilia shida na kupimwa kama mchele mwee Wana kazi ngumu duniani!
Kazi ya kuutafuta ufalme wa Mbingunii,na kazi ya kuvumilia vipimo vya shida vya Watu..aloo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi wamekuwa wavivu na wanakwepa majukumu yao! Unajua mwanamke atakayedemand mahitaji yanayohitaji matumizi makubwa itambidi mwanaume atumie nguvu nyingi kutafuta ili atimize hayo mahitaji!

Sasa mwanaume mvivu lazima akwepe mwanamke wa aina hii maana hataki kujituma sana. Nawapenda sana wale wanaume wachache wanaosema mimi nataka mwanamke anayependa pesa maana ananifanya nipate akili na nguvu za kutafuta zaidi.

Sasa dunia hii mwanaume asipotafuta pesa anataka afanye nini tena maana hakuna jukumu lingine walilopewa zaidi ya hilo tu ila cha ajabu nalo wanaliona gumu! Sisi tunaobeba mimba, tunaozaa, tunaonyonyesha, tunaolea, na bado tunafanya kazi za nyumbani na siku hizi maisha yamebadilika hata kutafuta pesa tunawasaidia pia na hatulalamiki!

Ila wao kutafuta pesa na kuhudumia wake zao tu mtu anaona kama anafanya hisani au msaada tu wakati ni jukumu lake. Nashindwa kuelewa au wenzetu wanataka wawe wanakaa tu nyumbani ili sasa kila kitu afanye mwanamke.
 
Yeah this is the one. Doh nilisahau kumbe ni cheetah.

Haha safi sana kama kweli hauna tamaa za fisi. Utakuwa ulishushwa toka mbinguni chalii.
Sio suala la kushushwa. Believe me wote tuna tamaa lakini kuna ile kuji control. Mimi nipo conscious nina self control pia so siendeshwi na tamaa hata kama ipo.
 
Sio suala la kushushwa. Believe me wote tuna tamaa lakini kuna ile kuji control. Mimi nipo conscious nina self control pia so siendeshwi na tamaa hata kama ipo.
Ila kweli wanaume smart wengi ndiyo huwa na hulka hizi. Ukiona mwanaume anataka kufunua kila sketi jua kichwa chake cha juu kina hitilafu kubwa mno.
 
Back
Top Bottom