Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20211026-100434.jpg
 
Pale ambapo unakuta mzee baba kwenye kila PM ya mrembo wa selfika, yupo anaimbisha. And he is acting single
Men, at their prime, are hunters. They are naturally motivated by a universal (sometimes uncontrollable) primal instinct to spread their male genes to as many partners as possible. This guarantees the survival of their genes to the next generation....Always remember this when you are sexually dealing with any normal male Homo Sapiens!
 
sawima says....show me your true love then i'll trust ye!
Kuhusu true love hio ondoa shaka 😁 hio utapata na nusu.. nitaku respect, nitakupa care, and i will never hurt you, i will never humiliate you or any form of abuse😁, ujue ku show love sio complicated saana hapo nafaulu, nakuja sasa kwako kukupima true love yako😂 1st of all kwa makusudi initially i will Make things difficult and see if you will stay with me,😂🤣😂 hapo utatoka nduki🏃🏃🏃🏃

Nimekupa Siri tu lakini wanawake ninavyowafahamu huo mtihani kufeli ni 99% wanaume wenzangu wananielewa
 
You make things difficult! How?
 
You make things difficult! How?
Suala la msosi ni ugali mboga za majani, tukila vizuri saaaana ni ubwabwa maharagwe😂😂, nyama w'end 2 per month.

Tunapanga uswahilini

Lotion ya bei nafuu, American dream utakuwa unaisikia tu😁

Kusuka kwa bei nafuu once per month

Ukiniomba pesa nakusubirisha siku 3.

Out ni kwenda beach😂 kupunga upepo na kurudi..

Shopping ni nguo za bei nafuu kwenye mnada

Maisha yatasonga kwa miezi mi 3😁, siku moja natoka kazini nakuta kufuli inanizomea, kufungua kuna kikaratasi mezani babe maisha yamenishinda, hata ngozi yangu imefubaa, nimeamua tuachane..... 😥

Nachukua simu nakupigia babe nilikuwa nakupima tu kama utavumilia siku nikiwa down, ukweli ni kwamba haya maisha yalikuwa maigizo
 
Suala la msosi ni ugali mboga za majani, tukila vizuri saaaana ni ubwabwa maharagwe😂😂, nyama w'end 2 per month.

Tunapanga uswahilini

Lotion ya bei nafuu, American dream utakuwa unaisikia tu😁

Kusuka kwa bei nafuu once per month

Ukiniomba pesa nakusubirisha siku 3.

Out ni kwenda beach😂 kupunga upepo na kurudi..

Shopping ni nguo za bei nafuu kwenye mnada

Maisha yatasonga kwa miezi mi 3😁, siku moja natoka kazini nakuta kufuli inanizomea, kufungua kuna kikaratasi mezani babe maisha yamenishinda, hata ngozi yangu imefubaa, nimeamua tuachane..... 😥

Tayari umefeli mama😂

Kama umeamua kufanya hivi na pesa unayo na ukaamua tufunge mkanda ili mambo fulani yaende(mf.ujenzi, uwekezaji) hamna noma kwa sababu ni suala la muda tu lkn kama ni kukomeshana sio poa😀.
 
Back
Top Bottom