Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

John Legend, all of me.

Ila sitasahau matatizo kiliyosababisha 🤣
Screenshot_20211027-174835.png
 
Kusema ukweli mi mwenyewe I wouldn't appreciate ishu za kufanyiana maigizo.

I mean wote tukianza kufanyiana maigizo itakuwaje??? Mi nimpime yeye....na yeye anipime mimi alafu mwisho wa siku kila mmoja anakuwa ame-fall with a slightly false version of the other.
Si ndio hapo sasa. Mungu atupime na binadamu nao tuanze kupimana kisa ndoa yaani mtu anataka kufanya ndoa kama ufalme wa mbinguni.
 
Wanawake wa jf napenda kuwaambieni kwamba kila mtu ana urembo kwa level zake.
Lakini ukweli ni kwamba shemeji yenu ananifanya nione wanawake wengine kama wanaume
Mtoto ana figure.
Mtoto ana rangi.
Mtoto ana sura
Mtoto anajua kupika.
Mtoto ana kila sifa ya kuitwa mke wangu.
Mtoto anajua mahaba.
Weeeeee!!!! Nani humu ndani wa hizo level.
Nani mtetezi wenu humu ajitokeze.
Wanawake wa jf hamstui, nawaambieni ukweli.
Jf hakuna bhana
 
Good story halafu sasa unalivyoandika ni kama unahadithia kwa mdomo, we inaonekana ni mpiga story mzuri..

Niongee tu ukweli, wanasema msema 'kweri' ni mpenzi wa mungu..

Wanawake wengi hawapo kama huyo dada, naye itakuwa alikuwa hivyo baada ya kuumizwa sana na mtu ambae alimpenda kwa dhati na akamtenda, akaapa kutokuja kuwa na mahusiano na mtu wa aina hio, lakini alikosea ku generalize..

Lakini ukweli ni kwamba wanawake unaweza muuliza mwanaume amekuletea zawadi gani wakati ametoka jela, sio wote lakini majority..

women dont care about us , that is the way it is at the end, sio kwamba nawachukia no! nisieleweke vibaya, at the end of the day, they only care about themselves. they care about their own needs being met, they only care about what you can do for them, you are almost like entertainer, you have to keep her happy at all times, its all abt her,.... najua its hard pill to shallow, hii ni part ya female nature na huo ndio ukweli... so siwachukii



specificly they care abt what you can do for them and what you are doing for her, wanachojali ni value unayompatia sasa whether it be financial value, you might be taking care of the kids while she's at work, you might be giving her sexual glatification, yaani in general you are providing some value in her life to where you are keeping her around..



unaweza pigwa chini kwa higher value male anytime, thats how it works, kama kuna wanao argue ukifikiri nguvu za kiume and all that utapendwa zaidi , ukifikiri she can love you unconditionally, then nenda kafanye hivyo unavyohisi ukifanya utapendwa saana and see how it turns out



i'm aware of female nature, i do not live my life for them, i live my life for me, i live my life on my terms.

Niseme tena sio wote Ila majority almost 95% wapo hivyo, na hio ni nature, so kuna wachache ambao dhahabu, na ili dhahabu pure ijulikane lazima ipite kwenye Moto..

Wanawake walio after s'thing siwachukii nirudie tena, that's why mwanzoni nilisema uki date na mtu akanambia una pesa kiasi gani? Unaweza kuni afford?, siwezi mchukia na nikasema ni gold digger, huyo nitamjibu vizuri tu kama nitamu afford au la, cause at the end ni part ya female nature..

Kwa hio Karma wewe kuzungumza haya maneno ni kutetea kwa mifano ambayo ipo na ni michache lakini majority hawapo hivyo..

Wanaume wenzangu wananielewa..

Watakaokupenda unconditionally wapo ndio hao sasa kufahamu japo it's not guarantee, chujio la chuma lazima lipite..

Kuna story moja ya star Fulani kuhusu alichofanyiwa na mkewe inasikitisha sana, I think ni Mabeste.. unaweza rejea hio story..
Mbona ni kama mabaya yote umeyasokomezea kwa wanawake kana kwamba wanaume ni innocent? Kwahiyo unataka kusema kwamba wanaume ndiyo wana mapenzi ya kweli na kwamba wao hawademand vitu vingi toka kwa wanawake?
 
Wanawake wa jf napenda kuwaambieni kwamba kila mtu ana urembo kwa level zake.
Lakini ukweli ni kwamba shemeji yenu ananifanya nione wanawake wengine kama wanaume
Mtoto ana figure.
Mtoto ana rangi.
Mtoto ana sura
Mtoto anajua kupika.
Mtoto ana kila sifa ya kuitwa mke wangu.
Mtoto anajua mahaba.
Weeeeee!!!! Nani humu ndani wa hizo level.
Nani mtetezi wenu humu ajitokeze.
Wanawake wa jf hamstui, nawaambieni ukweli.
Endelea na moyo huo huo hata utakapooa mkuu. Wanawake wote waone kama wanaume wenzio utulie na huyo mmoja tu na utabarikiwa.
 
Si ndio hapo sasa. Mungu atupime na binadamu nao tuanze kupimana kisa ndoa yaani mtu anataka kufanya ndoa kama ufalme wa mbinguni.
😁Let's end it here..
Ujue ndoa ni kama taasisi, unapokwenda kuomba kazi kwenye taasisi yeyote,kampuni yeyote lazima wa ku jaribu..
Same na ndoa , kusema anayejaribu ni mungu pekee, nah! Sikubaliani nalo, kwenye ajira tu tunajaribuwa itakuwa ndoa..

Anyway 😊 sio mbaya kujadili na kila mtu kutoa mawazo yake, tusifanye iwe very sensitive.. pia tusichukulie personal

Thanks Karma
 
Back
Top Bottom