Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20211026-162916.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]utachonga viazi.

Sio Lizzy tu hata kama ningekuwa ni mimi trust me nisingelimtaja wala kuwa na mategemeo ya kumtaja

Listen mtakatifu wangu kuna mambo lazima yabaki kuwa sirini.kuna watu humu ndan wapo ..tena wapo sanaaaa lakini hawataki kujulikana Kabisa na ukifanya kitu cha kuwafanya wajulikane Hapo hapo unawapoteza.so inabidi tujifunze kuwa na breki ya maneno..tujifunze kuto kuropoka itatusaidia pia kukutana na watu wa maana wakatupatia koneksheni za maisha
Konekisheni dar ina maana moja tu.
Kama unakonekisheni yoyote nipatie na mimi.
 
Mtakatifu mwandiko wako unaonesha mtu akisema suu unayabwaga bwaaa[emoji1][emoji1]

Yes hakuna haja ya kusema unatoka na nani huo ni utoto uliopitiliza viwango
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mweee , kumbe nina utoto[emoji134][emoji134]nishamtaja Palladino wangu,kila siku naimba mashairi humu[emoji38].


Jini mkata kamba asije tu kukata hili penzi jamani,,nitamuuwa huyo jini[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maonyesho si mazuri kabisa.

Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabia[emoji16][emoji16][emoji16]lakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana [emoji2296][emoji2296] Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.

Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mboga[emoji6]kho kho kho kikohozi kimenibana sana[emoji16]
Sometimes mtu unaweza dhani upo kwenye mahusiano,.kumbe uko singo.

Mwenzio anakuchora na hasemi[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom