Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Sio kweli, nyie mnakaa ushuani Gongo la mboto mje kufuata nini? Nina uhakika hatujawahi onana.Mkuu ni sisi tu wa mtaani
Pengine tushaonana sana
Sio kweli, nyie mnakaa ushuani Gongo la mboto mje kufuata nini? Nina uhakika hatujawahi onana.Mkuu ni sisi tu wa mtaani
Pengine tushaonana sana
Vita si yako , ni ya Bwana ...Mimi nilishashindwa kulipa ubaya kwa ubaya ila kuna watu wanapenda tu kuwaumiza wenzao sasa tunawafanyaje hawa.
Mguu umeonekana kwa pande hizi zanguHatimae nini tena Chief
😂😂😂😂![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata nyumbani sijui kama ipo.![]()

Ha ha ha , nilikuwa sijaona hiiEngland akichukua kombe nitajipost bila emoj wala cropping 😂
#Euro2020.
Mzee viwanja vya nyumbani hivi utakuwepo katika semina.
Mungu Akipenda nitakuwepo ndugu yangu. Huyo Mwalimu namkubali sanaMzee viwanja vya nyumbani hivi utakuwepo katika semina.
Miss u maaaBado zipo vizuri ..
Huwa unakandia maji ya baridi au vugu vugu ?
My crushMiss u maaa

Yes crush upoMy crush![]()
Siku utakayojifunza kulipa ubaya,utakuja kugundua kwamba kunyamaza kimya na kupuuzia kuna faida nyingi kuliko kujaribu kulipa ubaya.Mimi nilishashindwa kulipa ubaya kwa ubaya ila kuna watu wanapenda tu kuwaumiza wenzao sasa tunawafanyaje hawa.
Najaribu kuzoom kivuli Cha picha kwenye meza bado sikuoni nkamu.View attachment 1983387
Furahiii dei
Umepotea sanaYes crush upo

Mchumba ulale mapema mana kesho tunakeshaNajaribu kuzoom kivuli Cha picha kwenye meza bado sikuoni nkamu.
Naona pochi na mawani tu mwee.

Nipo crush wangu mambo tu mengi.... Miss u so muchUmepotea sana![]()