Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Namba zote za page kuna picha zangu.Mmmh, masihara hayo, picha zako kabisa Saint Anne?, page namba ngapi nikacheki..
Njaa imenipitia ghafla


Bado zipo vizuri ..
Wewe Sasa unataka ushindani.Na wewe ukikosea nikulambe na kofi la shavu?
Hujajibu swali langu mkuuWewe Sasa unataka ushindani.
Sasa hapo nani kichwa?
Nani kiongozi?
Nani ana final say?
Ya vuguvuguBado zipo vizuri ..
Huwa unakandia maji ya baridi au vugu vugu ?
Pole bossNjaa imenipitia ghafla![]()
Yes ..Ya vuguvugu
Namix sukari kidogo na chumvi.
Bila shaka Jumla imepunguzwa ili namba apigiwe
NdiyoYes ..
Huwa napenda zinakuwa laini na mchambuko hatari .

Nimeshakuelekeza jinsi ya kumpiga mwanaume.Hujajibu swali langu mkuu
Maelekezo yako yapo nje ya swali langu la SasaNimeshakuelekeza jinsi ya kumpiga mwanaume.
Hebu nikumbushe tafadhariMaelekezo yako yapo nje ya swali langu la Sasa
Mweee nimetamani

Chapati na ndizi

Ndizi si ni tunda mchumba,Chapati na ndizi![]()
Ahaaa sawa mchumbaNdizi si ni tunda mchumba,
Linaliwa baada ya kula chakula.