Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Mimi ni nani mpka nibishe!sawa boss😅😅😅 Siku nyingine ,na siyo kwenye public.
Mimi ni nani mpka nibishe!sawa boss😅😅😅 Siku nyingine ,na siyo kwenye public.
Patamu mnoPatamu sana , inaonekana ni sehemu nzuri kutembelea
Na wewe umeshawahi kufika hapo kumbePatamu mno
Muda?
Jitahidi uje..
Shem darling....Ni wapi hapo?
Haha roho ngumu hufundishwi mama Hiyo mtu huwa nayo naturallyNaomba unifundishe namna ya kuwa na roho ngumu kulipiza ubaya kwa ubaya nataka nipeleke kiama somewhere!
MchanaMuda?
Sawa mchumbaMchana
Kwahiyo wewe unayo😂Haha roho ngumu hufundishwi mama Hiyo mtu huwa nayo naturally
mwee mwee mwana ugwe,,,gwandile lighi indumbula imbibhi?Ndio![]()
Labda umeisahau nyumbani 😏😁
Inawezekana hapo sijafika lakini nimeishi zanzibar kwa kipindi fulani so kwa kiwango nimepafahamu kuwa ni patamu.Na wewe umeshawahi kufika hapo kumbe
Hakika hiyo mahali nitaendaInawezekana hapo sijafika lakini nimeishi zanzibar kwa kipindi fulani so kwa kiwango nimepafahamu kuwa ni patamu.
🥰🥰