Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen[emoji120][emoji120]
Ni kweli amelala,ataamka..nitamuona tena japo natamani iwe haraka tu.

Mwee mtumishi hivi unajua ngojangoja yaumiza matumbo?!?!
Mwishowe nikufe kabla sijakuona[emoji4]..
Naomba ufanye kubariki roho yangu na kaselfie[emoji120].
Utamuona, lakini mpaka muda wa Mungu ufike, ambao ndo muda sahihi zaidi.

Just stay strong and positive.

Mtumishi mwenzangu huwezi kukufa kabla mimi pia sijakuona. Mungu hataruhusu hilo.

I can bet my father's house kwenye hili [emoji846]
 
Dah, Yaani ingekuwa inawezekana ningemshawishi tu Mungu afinalize mambo yaishe.

Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Namuamini sana Mungu,ila wacha niugulie haya maumivu hadi yatakapopoa.

Mtumishi si unajua kama kifo huja kama mwivi??
What if nikachomoka hapa,sijaona picha[emoji38],,,nyumba unayoweka rehani sitaifaidi.

Hebu fanya kuhurumia tumbo langu Mtumishi,limengoja mno.
Pls baba Mtumishi [emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom