Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Wallah nakuambia wewe mremboSema wallah
Wallah nakuambia wewe mremboSema wallah
Ilikuwa dakika,siku hatimaye mwaka Sasa,[emoji174]
Wajukuu wa bibi tulikusanyika kumsindikiza bibi..
RIP bibi[emoji26],
Baba naye akaona akufuate[emoji174],
Dah Anne nimeanza kuexperience haya mambo mwaka Jana,,ni mazito mno,nashindwa kuyabeba.View attachment 1983723View attachment 1983724
Kwamba tayari tumepewa vizimba vipya!
Basi na nyie wateja mtufate huko tulikohamishwa.Tunaendelea kuhamia maeneo rasmi
[emoji23][emoji23][emoji23]Nkamu kabla ya kupost majaji kama watatu wameipitia kuhakikisha sionekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifanya hivyo kila siku, ukawaambia na wenzako wafanye hivyo, sisi hatutajenga mabanda kwenye mitaro mzee. Hamasisha majirani zako[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha sawa sawa.. Leo nimetoka Kisarawe 2 mpaka mjimwema kufuata soko
Nipo kwa ofisi nitakucheki bdae mchumba[emoji6]Jack Palladino umeshajiandaa?
Karibu sana mkuu.Patamu sana , inaonekana ni sehemu nzuri kutembelea
Okee[emoji8]Nipo kwa ofisi nitakucheki bdae mchumba[emoji6]View attachment 1984072
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Unamnywa wajina wako[emoji23][emoji23][emoji23]#sourmash[emoji817][emoji818]View attachment 1984082
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Nipo kwa ofisi nitakucheki bdae mchumba[emoji6]View attachment 1984072
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app