Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Shem darling wangu..mamboShem darling....
Shem darling wangu..mamboShem darling....
Safi kabisa...mzima wewe?Shem darling wangu..mambo
Kabisa kabisa uende tuHakika hiyo mahali nitaenda
Niko poa kabisa Shem darling😊😊Safi kabisa...mzima wewe?
Abee AnkalAnkal
Mwandiko wako umekaa kidanganyifu.sio kweliNdio![]()
Safi...upo mjini?Niko poa kabisa Shem darling
Mambo yanakwendaje?
Hapana shem darling nimeshaondoka.niko dodomaSafi...upo mjini?
Ohh okHapana shem darling nimeshaondoka.niko dodoma
Dah hatimaye
Mimi nilishashindwa kulipa ubaya kwa ubaya ila kuna watu wanapenda tu kuwaumiza wenzao sasa tunawafanyaje hawa.Lipa ubaya kwa ubaya??(No)
ulipe ubaya kwa wema.
Kazi ya hukumu ni ya Mungu .
Ukilipiza jua unatengeneza tatizo kubwa ambalo linaweza kukugharimu baadaye.
Mwachie Mungu.
Haha roho ngumu hufundishwi mama Hiyo mtu huwa nayo naturally
YesOhh ok
Hatimae nini tena ChiefDah hatimaye
Dodoma ankalWapi iyo
Mwachie Mungu.Omba uendelee kuwa na roho ya kusamehe + amani ya moyoniMimi nilishashindwa kulipa ubaya kwa ubaya ila kuna watu wanapenda tu kuwaumiza wenzao sasa tunawafanyaje hawa.