Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251


Kwa hiyo unakunywa nini?


Akuguse wapi?
Bora hata ungeendelea na pombe kuliko jani
RohoniAkuguse wapi?

Duuh mkuu sasa umeficha kule juu halafu huku chini umeachia kweli? Anyway hili kosa nimeliona kwa wengi hata mimi mwenyewe sema siku hizi daah niko makini sana aiseee!



Unafanyia nini hiyo?View attachment 1978084
22 gen 4, 40 cal s&w model 411 effective cartridge 😎... we noma umezifahamia wapi?
Napenda muwasho 😁😁Jana nimeonjeshwa aisee siziwezi
kila la kheri..Bahari ya Hindi
Narudi kwenye mapambano
hapana Mkuu 20202021 mkuu??
😁😁😁😁😁😁😁Unafanyia nini hiyo?
Nilitaka kuomba hizo hela ila umenikata maini baada ya kuona vitu hatari.
Mtakatifu Anna Saint Anne Una vijibusara flaniflani, isipokuwa unakosea tu pale unapochukulia kwamba kumpa mpenzi/mchumba/mme ni maamuzi yako. Kwamba unamfanyia favor!!! Hapo sio sawa. Hata mkitwangana, mkifika kwenye 6*6 ugomvi wenu mnaancha mlangoni mnaenda kupumzika.Marehemu Mitimingi alisema hivi;"mwanaume anaambiwa ukweli kwa njia ambayo ni nzuri,na si kufokewa"
Hata kama ni kweli ana kosa..ukimfokea unafyatua kichwa chake .
Kikishafyyatuka lazima akufyatue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naendaje kumkatia mtu kiuno kitandani wakati ameshanitengua hicho kiuno?Mtakatifu Anna Saint Anne Una vijibusara flaniflani, isipokuwa unakosea tu pale unapochukulia kwamba kumpa mpenzi/mchumba/mme ni maamuzi yako. Kwamba unamfanyia favor!!! Hapo sio sawa. Hata mkitwangana, mkifika kwenye 6*6 ugomvi wenu mnaancha mlangoni mnaenda kupumzika.
Ngoja nisome maandiko hahaaaaaa
Mara nyingi mwanaume kumpiga mkewe ni kutokana na mrundikano wa hasira. Yaani kamuonya Mara kadhaa lakini hakuna mabadiliko. Pili huwa ni Kofi moja la mbele au nyuma ya kiganja basi. Kama mwanamke atakaa kimya bila kutaka kujirudishia au makelele, basi mwanaume ataishia hapo.Naendaje kumkatia mtu kiuno kitandani wakati ameshanitengua hucho kiuno?
Kweli DSM haimkatai mtu, wewe ndiyo wa kukataa kwenu 🙆😂😂
WowOhoo hilo huwa linachukua masaa 6 Mbeya-Makambako
😂dsm maisha magumu sana,ila nina sababu zangu za kutorudi huko sasahivi.Kweli DSM haimkatai mtu, wewe ndiyo wa kukataa kwenu 🙆😂😂