Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mara nyingi mwanaume kumpiga mkewe ni kutokana na mrundikano wa hasira. Yaani kamuonya Mara kadhaa lakini hakuna mabadiliko. Pili huwa ni Kofi moja la mbele au nyuma ya kiganja basi. Kama mwanamke atakaa kimya bila kutaka kujirudishia au makelele, basi mwanaume ataishia hapo.
So ukipigwa Kofi moja sema nisamehe mme wangu.
Ila nawe usiwe mbishi Sana, msikilize na mjibu kibusara, hatupendi kupigana basi tu inatokea.
Ila usisahau, kinachofanywa on bed sio favor.
Na wewe ukikosea mkeo akutandike kofi la wapi?
 
We sema DSM imekunogea 😅, shida ya Mbeya hakuna viwanja vya burudani kama hapa DSM.

Mbeya mzunguko wa hela mdogo Ila hakuna shida ya Chakula. Endelea kuzichanga uje unigawie 🤗
Njoo unichangie mkuu ili baadaye tugawane.
Hakuna sehrmu naipenda kama Mbeya,na katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuishi DSM...ila nipo kwa muda tu
 
KUfua na kuchart
IMG_20211018_133728.jpg
 
Back
Top Bottom