Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa kama siyo dikteta kwanini umuadhibu mtu kwa uhuru uliompa? Yaani ni sawa baba amuambie mwanaye achague kuenda shule au kuwa jambazi halafu akichagua awe jambazi amuadhibu wakati alimpa uhuru wa kuchagua sasa kama hakutaka mwanaye awe jambazi si angesema aende shule tu?
ngoja nikjibu kwa uelewa wangu...
kwanza kabisa tukubaliane uhuru tulionao wa kutenda mambo na kuchagua lazima uwe ndani ya uwezo wetu, yaani what's in your capacity, ikiwa ndani ya uwezo wako basi waweza chagua na kutenda..

nikupe mfano..
Mwalimu anayefundisha darasa la watoto 100, mwishoni mwa mwaka wanafanya mtihani lakini kabla ya mtihani mwalimu kwa sababu anafahamu uwezo wa kila mwanafunzi, anafahamu nani ana juhudi, nani ni mtoro, nani ni muelewa haraka n.k,mwalimu tokana na kuwafahamu wanafunzi ata predict mwanafunzi fulani atafaulu vizuri, mwanafunzi fulani atafeli, na kweli baada ya mtihani yanatokea kama alivyo tabiri, je mwalimu alaumiwe kwa utabiri wake? mwanafunzi aliyefeli alaumu mwalimu kamtabiria kufeli? nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kufeli mwalimu au mwanafunzi 🙂

Mungu ametupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya, choice is yours, ametuambia mema na mabaya na akatupa uhuru wa kuchagua, kila kitu unachokwenda kukifanya mungu anajua unakwenda kufanya nini na nini matokeo yake, yeye si wa kulaumiwa katika choice zako japo anajua kabla hayajatokea 🙂..
 
Duuh Sawa
 
Huoni jinsi watu wanavyofyatuana ubongo mkuu!
Wakati wanapewa hizo silaha walisema hivyohivyo kuwa hawatatumia vibaya.
Mbona Harmonize anayo? kwa Tanzania kesi za watu kutoana upepo, gunshot inachukua sehemu ndogo saaana, visu, mapanga, petroli n.k ndizo silaha pendwa..

sasa huwezi sema watu wasimiliki visu, mbona wamasai wanatembea na rungu, sime na fimbo mtaani, ni kawaida tu kumiliki bunduki kwa ajili ya kujilinda we na mali zako, kikubwa uwe unamiliki kihalali..
 
Natamani hivyo vitu vingepigwa tu marufuku,watu wamanyofoana mioyo kimasihara tu.
 
Back
Top Bottom