Zucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashiba
View attachment 1958630
Kwa Kiswahili yanaitwa Zukini au ukitaka kile Kiswahili chenyewe kabisa orijino kutoka Unguja nadhani yanaitwa
mang'unye. Na pamoja na matango, ni jamii moja ya maboga.
View attachment 1958632View attachment 1958633