Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Mbona tunatishana wakuu...acheni tule bia kwanzaUnaweza ukapokelewa wewe kabla sisi hatujapita ohoo![]()
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mbona tunatishana wakuu...acheni tule bia kwanzaUnaweza ukapokelewa wewe kabla sisi hatujapita ohoo![]()
Unaogopa?
Haaaa bora ije bila kujuaUnaogopa?
Zamu ikifika haikimbiliiki .
Tunywe bia huku tukijiandaa rohoni..
Kwann tulizaliwa?ili tufe?Nini maana ya maisha?Tunywe bia huku tukijiandaa rohoni..
Hatujui siku wala saa .
Kifo huja kama mwivi.
Kama mtu angelijua ile saa ambayo mwizi anakuja kuiba,angelikesha muda wote akimngoja.
Sasa relate na kifo...kinakuja ghafla,saa usiyoitegemea..kama mwizi vile,kinavizia.
Umeumbwa utawale dunia na vyote vilivyono.
Sawa kamanda nitaendaPunget and spicy beef with risk. Hii Menu inapatikana hapo Palm Beach hotel is very delicious- Ina bamia nyingi na sauce ya kichina sijui.
Hutajutia kajaribu
Camera na filters zinadanganyaga mkuu.Unaonyesha kuwa ni mrembo sn wa Sura na shepu
Kwann aliruhusu anguko la Adam?ilihali yeye alijua litatokea?Umeumbwa utawale dunia na vyote vilivyono.
Hilo ndilo lilikuwa kusudi la MUNGU kutuleta duniani.
Huku kote tumefika Kwa sababu ya anguko la mwanadamu katika dhambi .
Lakini MUNGU ni mwaminifu,akaturejesha tena kwa njia ya Kristo..
Tunapata tumaini la uzima wa milele.
Na hatuwezi kufika huko pasi na kupitia hatua zilizopo.
Hpn Kwa hiyo pic haina vionjo vya filter..uko vizuri,Ila sijashangaa sn maana Tanga kuna watoto wakali sn🤣Camera na filters zinadanganyaga mkuu.
Oooh shauri yakoHpn Kwa hiyo pic haina vionjo vya filter..uko vizuri,Ila sijashangaa sn maana Tanga kuna watoto wakali sn![]()
Hapana, huo ni mguu wakoni mtu anauza viatu huko Insta

Mawazo Yake si mawazo yako wewe Jack,na njia Zake si njia zako.Kwann aliruhusu anguko la Adam?ilihali yeye alijua litatokea?
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Alimuacha mwanadamu achague.Kwann aliruhusu anguko la Adam?ilihali yeye alijua litatokea?
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Unamuachaje binadamu ambae ni kiumbe dhaifu achague...not fair kabisaAlimuacha mwanadamu achague.
Hakutaka kumlazimisha...Yeye si dikteta.
Mchumba naona una elements za uatheist..ni kweli?