Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji102]
Screenshot_20211016-122820_Instagram.jpg
 
Mchumba yalinikuta mazito[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda pale mnanaita City Mall..picha linaanza kupanda zile ngazi lift za umeme[emoji38][emoji38]haki ngazi zinatembea nashindwa weka mguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mtu niliyekuwa naye almanusura azimie kwa kicheko.

Ukienda na mimi sehemu lazima nikutie aibu.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom