cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Kinjuka nimekielewa [emoji7][emoji7]Bembea [emoji3346]View attachment 1961785
Kinjuka nimekielewa [emoji7][emoji7]Bembea [emoji3346]View attachment 1961785
[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiliumana? Hahaha.Pale nina uhakika ukipanda utalia michozi [emoji1787][emoji1787].
Tulipanda wawili, dk zimeisha imezimwa Mimi nikabaki juu weee nilishikwa na uoga. Ilipowashwa tena ili izunguke nirudi chini sijui aliwasha na speed kubwa? Maana kilinikuta kitu mpaka ananifungua mkanda machozi yananilenga [emoji3346]
Ila sikomi maana ina raha sana
Umeziba San mommah lol, [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zang mie lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upwaga bhore we wa msikana,Hadi kufika mbinga,ishasafishika[emoji120]View attachment 1962709
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina hakika na mifano hai[emoji38]View attachment 1962989
Sehemu pendwa, [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba yalinikuta mazito[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda pale mnanaita City Mall..picha linaanza kupanda zile ngazi lift za umeme[emoji38][emoji38]haki ngazi zinatembea nashindwa weka mguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mtu niliyekuwa naye almanusura azimie kwa kicheko.
Ukienda na mimi sehemu lazima nikutie aibu.
Suit? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yellow tenaView attachment 1963783
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Okay. Viti vyake vimenikumbusha mata.co bar [emoji23][emoji23]
HahahaHizo mnaweka kubwa sana[emoji3], ona sasa hatuona hata lips、wekeni hata kwenye nywele kwingine pawe natural live bila chenga tusafishe macho. Kama vipi nitumie Mimi DM[emoji1787] ntakushukuru sana.
Leo nilikuwa najisikia baridi[emoji38]Suit? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngase kupwaga sindo bambo,jana niikike ku songea[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upwaga bhore we wa msikana,
nyieeee[emoji39][emoji39]Coloured vs B&WView attachment 1963873View attachment 1963876