Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,874
- 147,339
[emoji120]Aisee enjoy
[emoji120]Aisee enjoy
[emoji23][emoji23][emoji23]Wa mkoani nikafurrahii baada ya kuona sanamu la Askari la posta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ushamba ni mzigo aki ya nani.View attachment 1963000
Mchumba yalinikuta mazito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mchumba. Bado upo Dar?Mchumba yalinikuta mazito[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda pale mnanaita City Mall..picha linaanza kupanda zile ngazi lift za umeme[emoji38][emoji38]haki ngazi zinatembea nashindwa weka mguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mtu niliyekuwa naye almanusura azimie kwa kicheko.
Ukienda na mimi sehemu lazima nikutie aibu.
Eti amepanda ngazi kaniacha chini,nashangaa zinavyotembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mchumba. Bado upo Dar?
Nikirudi nitakucheki[emoji28]Eti amepanda ngazi kaniacha chini,nashangaa zinavyotembea[emoji23]
Nikamwambia mimi sipandi,..
Akashuka kunichukua ili tupande wote..sasa hapo ndo alijikoroga[emoji1787]
Ameweka mguu wakati mimi bado wakati tulikubaliana tunaweka kwa pamoja huku nimemshika mkono..
Nikamvuta[emoji38]
Yaani nilitaka umiza mtoto wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya hivyo vitu havipo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado nipo mchumba.
Sawa karibu.Nikirudi nitakucheki[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1]sawaaSawa karibu.
Muhimu usije mikono mitupu,uje na zawadi za Moro.
Mkono mtupu haulambwi.
Utaniletea Nini?[emoji1][emoji1][emoji1]sawaa
Camera yako iko clear kinyama.
Bhasi nitakupa zawadi ya mimbaBado haujanishawishi[emoji1419]
Mimba nifanyie nini???Bhasi nitakupa zawadi ya mimba