Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana, kwa sababu umezungumzia ulinzi mkali itakuwa kama ifuatavyo...

1-Nyumba yako tutaizungushia sensors zenye uwezo wa kugundua hata kipepeo akiwa half mile away, sensors zitakuwa na uwezo wa ku detect moshi just in case intruders wataamua kutumia njia hio kupuliza moshi au spray zenye madhara

2-tutaweka sensors na mifumo ya biometric recognition, akija mgeni software zitamgundua hata kwa kutembea tu ukiachilia mbali fingerprint na iris scanner..

3-mafuta, vipodozi, vyakula, malazi, maji, vinywaji itabidi kuchunguzwa na mtaalamu/mkemia kabla hujavitumia.., hata maji ya kuoga...

4-Tutafunga wireless detectors(wireless intrusion detection system), kuanzia simu unayotumia, computer na kila kitu, lazima taarifa zipite kwenye device maalumu ambayo ita decrypt taarifa zote kabla hazijaingia wala kutoka, kwa hio vyote unavyo chat lazima tujue unachat na nani na una browse nini..hio ni kuzuia udukuzi..

5-tutaweka fire proof, tutaweka pia smart home security systems kuhakikisha kila kitu una ki control kwa kutumia simu ya mkononi tu, kuanzia kufunga milango, madirisha, geti, kuwasha taa na kila kitu hata tv..

Kutakuwa na walinzi tofauti tofauti wenye kazi tofauti, achana na wale wenye silaha na miili mikubwa..

wapo njiani wanakuja..
NB gharama zote juu yangu..🙂, toa ua sasa
Nilikuwa nimeanza kupandisha flower-less pic taratibu mpaka nilivyosoma #4 🙄🙄🙄

Badala ya kuniwekea some super proxy firewall inayo-crypt my activities unataka kuwarahisishia wadukuzi kazi??? Imagine the person in charge akidanganyika 🙄🙄

Anabonyeza SEND tu kesi inaisha 😱

Ila everything else is on point 🤝🏾🤝🏾👊🏾👊🏾 Ulinzi mkali wa kumfaa Malkia kabisa so make the necessary changes to #4 and it's on!!!!🤓

Cc
NDINDA
 
Mkuu NDINDA nakulipa taratibu[emoji2960]View attachment 1976014

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi, wiki hii nimeshika shika sana hayo madude [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

IMG_1919.jpg

IMG_1925.jpg

IMG_1926.jpg
 
Nilikuwa nimeanza kupandisha flower-less pic taratibu mpaka nilivyosoma #4 [emoji849][emoji849][emoji849]

Badala ya kuniwekea some super proxy firewall inayo-crypt my activities unataka kuwarahisishia wadukuzi kazi??? Imagine the person in charge akidanganyika [emoji849][emoji849]

Anabonyeza SEND tu kesi inaisha [emoji33]

Ila everything else is on point [emoji1753][emoji1753][emoji1477][emoji1477] Ulinzi mkali wa kumfaa Malkia kabisa so make the necessary changes to #4 and it's on!!!![emoji851]

Cc
NDINDA

Duh, Bado pagumu, Boss Jitahidi tena eneo la Ulinzi [emoji1787] Hasa namba 4 we are on the Verge [emoji41]
 
Babe Jack Palladino naona ndio unaamka[emoji16].
Njoo umuone mlevi mwenzio[emoji38] anafungua kinywa kwa makande na Kilimanjaro lager [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Yaani pombe imekuwa chai safari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki hii nafasi ya uenyekiti wa vileo kuna kinyang'anyiro Kikubwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babe Jack Palladino naona ndio unaamka[emoji16].
Njoo umuone mlevi mwenzio[emoji38] anafungua kinywa kwa makande na Kilimanjaro lager [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Yaani pombe imekuwa chai safari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki hii nafasi ya uenyekiti wa vileo kuna kinyang'anyiro Kikubwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nazimua hapa pia![emoji23]
20211016_104918.jpg
 
Back
Top Bottom