Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mimi niko poa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mimi niko poa
[emoji3531] thanks[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Nice
Sent using Jamii Forums mobile app
Data zinakuwa decrypted ili kuzikagua then zinakuwa encrypted zinapotumwa..Nilikuwa nimeanza kupandisha flower-less pic taratibu mpaka nilivyosoma #4 🙄🙄🙄
Badala ya kuniwekea some super proxy firewall inayo-crypt my activities unataka kuwarahisishia wadukuzi kazi??? Imagine the person in charge akidanganyika 🙄🙄
Anabonyeza SEND tu kesi inaisha 😱
Ila everything else is on point 🤝🏾🤝🏾👊🏾👊🏾 Ulinzi mkali wa kumfaa Malkia kabisa so make the necessary changes to #4 and it's on!!!!🤓
Cc
NDINDA
😊 Akiwa bado na mashaka itabidi tumpeleke Mars, huko hakuna wa kumfikia😁Yaani hapa atoe tu Ua? Kila kitu kahakikishiwa [emoji41][emoji1476] [mention]Lizzy [/mention] sasa fanya mambo.
Tangu nimefika Dar hii ni mara yangu ya pili kupanda daladala.
Hakiyanani nimeteseka Leo,yaani Korogwe hadi Kimara mwisho kwa mwendokasi huwa natumia dakika 2 hadi tatu.
Leo nusu saa nzima[emoji119]
Nimeshangaa utaratibu wa kudandia gari kabla haijasimama,na abiria waliofika hawajashuka Bado[emoji38].
Nilishangaa pia daladala za Dar hazina maandishi nyuma Na mbele kama Mbeya.
Yote tisa, kumi Zile ngazi za lift zinazotembea,pale City Mall aisee zilinitoa jasho Mno.
Huyo wa daladala ya gerezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mkuuMdada wa uyole mwenye mapishi yake [emoji847][emoji847][emoji847]
Nitangulie kupaa na ngazi???Ilitakiwa akutangulize bwana.
Gentleman's comment
Kuingia kwenye lift
Green city [emoji172][emoji172]View attachment 1976652
Ngoja nione kama litatukuta Makambako
Haliwakuti leo Hilo aiseeView attachment 1976652
Ngoja nione kama litatukuta Makambako
POPS [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ishakuwa tabu huku!!!View attachment 1976718
Selinalo Hotel,shanty Town
[emoji7][emoji7][emoji7]dota!POPS [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Chebe limekolea naziIshakuwa tabu huku!!!View attachment 1976718
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afe kipa afe bekiView attachment 1976762