Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha ...

Siku hizi watu wanagoma kupisha watu ,unakuta mama mwenye mtoto kasimama tu ,watu hawampi seat akae .
Mbinguni tutaenda wachache sana

Kuna siku nilipanda mwendokasi gerezani ya kwenda Mbezi,,nilisubiri foleni ya seat za kukaa,na route ya Mbezi ina nyomi la watu.nikakaa..kufika fire akapanda mtu mzima ambaye kwa mtu yeyote mwenye huruma lazima umpishe.
Nikampisha .

Tangu siku ile huwa sijitesi na foleni za seat za kukaa,zinanitafutia dhambi Bure
Huwa nasimama mara nyingi..bora nisimame tu au nikae seat ya nyuma kabisa,tena dirishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ufanye hivyo seat za mwishoni au dirishani ndo zinafaa kidogo ...

Kuna siku nimetoka mkoani narudi dar ndo tumepanda gari hapo Mbezi hatujafika hata maramba mawili mama mwenye mtoto huyo kapanda , nilikosa amani nikaamua nisimame tu .
 
Yaani ukikaa tena ni kero,mtu anakuangalia umpishe.

Mimi nilishaachana na habari za kukaa,,,kila siku nasimama aiseee..yote hii ni kuzuia kutenda dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukikaa tena ni kero,mtu anakuangalia umpishe.

Mimi nilishaachana na habari za kukaa,,,kila siku nasimama aiseee..yote hii ni kuzuia kutenda dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅 Anakukata jicho hatari
Hiyo njia yenu nzuri

Huwa napanda daladala za kwenda mawasiliano kupitia mandela road mara nyingi siwezi kusimama maana jioni hapafai , foleni kama nini ..
 
Anakukata jicho hatari
Hiyo njia yenu nzuri

Huwa napanda daladala kwenda mawasiliano kupitia mandela road mara nyingi siwezi kusimama maana jioni hapafai foleni kama nini ..

Kila ukiona jicho lake ni kama linasema mwanangu nipishe

Mwendokasi kusimama ni rahisi maana Haina foleni,inatembea haraka pia,labda dereva awe mchovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babe Jack Palladino naona ndio unaamka.
Njoo umuone mlevi mwenzio anafungua kinywa kwa makande na Kilimanjaro lager

Yaani pombe imekuwa chai safari hii
Haki hii nafasi ya uenyekiti wa vileo kuna kinyang'anyiro Kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha chai Ina sukari mnoo sisi sio watoto..Ila pamoja na kugombea kiti jack anatisha wiki ijayo nakuja daslamu ikimpendeza tupate wasaha tukae meza moja tunyweeeeeeeee
 
IMG_20211016_100257_9.jpg
 
Back
Top Bottom