Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Sema tu unatafuta mkorogo[emoji3][emoji3]
Hapana anajua siuzi mkorogo
Ana Rangi nzuri inahitaji bidhaa nzuri kuitunza
[emoji6]
Sema tu unatafuta mkorogo[emoji3][emoji3]
mbeya??View attachment 1961673
Raha sana yani
Mchumba unakumbuka ulikataa kunifundisha bia[emoji38]Njoo tunywe bia
Nitakuja MbeyaMchumba unakumbuka ulikataa kunifundisha bia[emoji38]
Nilikuomba unifundishe.
Unakuja kunifundisha kunywa?[emoji38]Nitakuja Mbeya
Mwee kalumbu kila ukiona migomba unadhani ni Tukuyu[emoji38][emoji38][emoji38]mbeya??
mbeya??
Unanitesa Mjukuu, yaani picha nzuri nzuri ndiyo unaposti usiku huu. Hapa nimelazimika kuvaa miwani yangu niweze kufaidi kwa macho 😋Mapema,kuhesabu kenchi[emoji41]View attachment 1961786
Hivi ulinambia nikutumie ile saa Machame? Kwa guu hili haki ya nani hiyo saa naleta Mwenyewe bila kumwagiza mtu 🙈😜Bembea 🧚♂️View attachment 1961785
Naomba nije unifundishe kuimba hiyo live band 😜😜View attachment 1961780Songi songi ❤️❤️
Nahesabu kenchi na misumari[emoji23]...kweli hauoni[emoji851]Unanitesa Mjukuu, yaani picha nzuri nzuri ndiyo unaposti usiku huu. Hapa nimelazimika kuvaa miwani yangu niweze kufaidi kwa macho [emoji39]
Tugawane hizo chenchi Mjukuu [emoji1729][emoji1729]
Pole bestDaah wamerudisha Hawa wajinga
Wapi wanaimba karioke hapa dar 😍Naomba nije unifundishe kuimba hiyo live band 😜😜