Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]
Elfu 30 mshahara wangu wote huo[emoji16]
Wewe pepsi na k-vant 2 inatosha.

Mimi nachukua balimi,,,na vile vibao vinapangwa kikitoka hiki kinawekwa hiki,haki nimeshajua sababu kwanini watu wanakesha club[emoji38]


Pombe imeshakukolea?
Mbona unacheka hovyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
giphy.gif
 
Kuna michezo siji kuicheza maishani
Pale nina uhakika ukipanda utalia michozi 🤣🤣.

Tulipanda wawili, dk zimeisha imezimwa Mimi nikabaki juu weee nilishikwa na uoga. Ilipowashwa tena ili izunguke nirudi chini sijui aliwasha na speed kubwa? Maana kilinikuta kitu mpaka ananifungua mkanda machozi yananilenga 🧚‍♂️

Ila sikomi maana ina raha sana
 
Pale nina uhakika ukipanda utalia michozi [emoji1787][emoji1787].

Tulipanda wawili, dk zimeisha imezimwa Mimi nikabaki juu weee nilishikwa na uoga. Ilipowashwa tena ili izunguke nirudi chini sijui aliwasha na speed kubwa? Maana kilinikuta kitu mpaka ananifungua mkanda machozi yananilenga [emoji3346]

Ila sikomi maana ina raha sana
Huko kwenye kulia machozi umeenda mbali mno.
Mimi siwezi kulia kwa sababu hata kujaribu kupanda siwezi.
 
Back
Top Bottom