Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Mimi huwa najua sehemu ya chini ya mguu (inayokanyaga chini kwa ujumla ni kiganja)Nijuavyo kiganja ni mkononi, mguuni ni kisigino.
Sehemu ya nyuma ya mguu ni kisigino ambacho ni part ya kiganja
Na mkononi pia Kuna kiganja
Ngoja wajuzi waje



,zile earphones ufanye namna Sasa nizipate

