donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Sikupingi, kweli big fuss
Kwa woteHivi hii WhatsApp down Ni kwangu pekee?

Karibu tena mdau..Hatimae nimerejea tena selfika
View attachment 1962851
Lini nilikula pilau na parachichi?Hakuna parachichi?![]()
Karibu ulimwengu wa chipsiNajifunza kulaView attachment 1962920

Ahsante,yaani utoto wangu,nilikulaga kiazi yaani kilinikerekete kooni kikasababisha nitapikeKaribu ulimwengu wa chipsi![]()

Nikishaweka nakupa zawadi ya helaUkishaweka???
Bado haujanishawishiNikishaweka nakupa zawadi ya hela

Shida ilikuwa koo lako tu na Wala si viaziAhsante,yaani utoto wangu,nilikulaga kiazi yaani kilinikerekete kooni kikasababisha nitapike
Tokea hapo nilivichukia viazi

Hii kitu inaitwajeNajifunza kulaView attachment 1962920

Kweli eeehShida ilikuwa koo lako tu na Wala si viazi![]()


Viazi msetoHii kitu inaitwaje![]()

NdiyoKweli eeeh![]()
Aisee enjoyViazi mseto![]()