Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dunia ipo kasi sana, kuna kampuni huko Israel inaitwa Phinergy wametengeneza gari inatumia hewa na maji
ina maana wazungu wana agenda ya kuua kabisa soko la mafuta au ni kitu gani
kuna documentary netflix naangalia world in 2050, wana agenda kubwa sana kuanza kutumia nishati mbadala ya mafuta
Juzi kati hapa kuna gari nyumbani imepaki, tulitaka tuifungie mfumo wa umeme, niliulizia huo mfumo kwa chinese, wanao
niliongea na hio kampuni wakanitaarifu bei na kila kitu
ilikuwa ni kuagiza tu na kufunga na walinipatia taratibu zote nikawatumia na picha ya gari, wanakupatia na solar inakaa juu ya roof

kwa sasa gari unaibadili chapu kuwa mfumo wa umeme
dunia ipo kasi sana asee
Mimi siku wakitengeneza vibranium Cars wanistue
 
Uji wa Dar😛😋😋

20210924_201723.jpg
 

nilikuwa moko moko mida ya jioni
basi nikala chocho flani nikawaona machalii flani wanamsumbua huyo manzi kipindi hata simjui, nikajua tu wanataka kumpiga tero, nikasema mtoto mzuri kama huyu hawezi fanyiwa na mie nipo, nikasogea nikawesemesha "oyaa sedere full" wakasema "haina gwera", nikawaambia "ni mori? mbona mnataka kumpiga ngeta huyo dada", jamaa wakanambia "bro acha kiraruraru basi, huu mlupo wako nini? "

nikawaambia "muacheni niwape masai mmoja", wakasema "oya kwa hio unajifanya una ngawira sana?", hapo nikaona hawa nikiwaacha wanaweza hata kumbaka ukizingtia machoni walionyesha wamenyonya cha orkokola, kwa kuwa huwa najiamini napiga makonde na baadhi ya mapigo ya judo mixer na karate nikasema nitapambana,

nikawaambia "oya wana sikieni hio haina gwera wala tantalila mie masai mmoja nawaachieni muacheni", basi jamaa mmoja akachomoa nike, daaah nikaona hapa hili disco siliwezi , bahati nzuri mfukoni nilikuwa na ngoto,

basi kwa kasi ya ajabu nilirudi nyuma halafu nikachomoa ngoto nikawaambia "oya acheni usoro, nitawadedisha", basi jamaa wakanyoosha mikono juu "oya kamanda haina daz, hatuna noma sie", nikamwambia yule binti sogea hapa karibu yangu.

aaaaahhhh nifupishe story, niliwakamata wote nikawapeleka polisi, basi ndio mtoto akanielewa sana akaniomba hadi namba, ndio ikawa hivyo sikuwahi kumpa mistari.
Machalii wa Arachuga utawajua tu yani
 
Hivi wakuu humu hamna aliyewahi kuipiga hiyo Kiwingu? Nasikia eti ni jamaa wa K Vant mwenyewe kaja na hiyo anataka kuiua K Vant maana siku hizi zinachakachuliwa sana kama Konyagi tu!
 
enjoy cocastic

Ile ban yako ulikosea nini mods?manake kifungo hakikuwa cha mchezo mchezo
ile ban kwan nlijua ni ya maisha, af sasa sijajua kosa langu had leo,

Hii ban imenifanya had acc angu ya twitter iwe maarufu na followers wengi, maan nlihamia kule serious sasa, tatzo kule sipawezi, kna vijana wa hovyo na serikali ya jamhuri yao.
 
Back
Top Bottom