NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
mawardat ni mpole ni mrembo ana figure amazing, kwenye mapishi utamkuta anakula ugali mkubwa na dagaa wakavu pembeni wa mchuzi(hajui kupangilia mlo), mawardat hata ule ugali mwekundu anapiga vizuri
Lizzy huyu dada ni mrembo mchapa kazi, kwenye jiko hana mpinzani humu jf, lakini hamfikii manzi yangu kama anabisha niweke mpambano wa kukaangiza hapa,
Depal ni mrembo halafu ukimzingua anakukata kofi, anakata makofi kama nyani,ana figure amazing, kupika ni 0
Priscallia ni mrembo halafu ni mpole ana figure amazing ,sema ni slay qeen hawezi zile kazi za ki wife material ikiwemo kupika ugali, anapenda outing na kupika hawezi kama mie muongo ani prove wrong
Saint Anne ni mrembo yeye ni mtakatifu, inaonekana ni mtu wa church sana anajitahidi kupika ila hamfikii manzi yangu
manzi yangu ni mrembo, anajua kupangilia misosi mezani, anajua kupika, ana figure amazing, anaponimalizaga kabisa akipikaga lile biriani na zile nyama za kusaga wallah huyu mtoto balaa.
Mbona sijaona mtu anaitwa Financial Services









