Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo Bagamoyo weekend ndio tunaikaribisha.

cc funzadume
Holy Man
IMG_20210924_104611.jpg
 
Mie sijambo sana mommah [emoji7][emoji7], nlitoka nduki nlikua buzzy kdg nje ya JF, sasa nlivokuja kuwa sawa, nijoin huku nakuta nmepigwa kufuli [emoji23][emoji23][emoji23], af sijajua had now kosa langu lipi.

Kna kipindi nimepitaa hapa karibun nje ya JF, nlimic uwepo wako, hakika wee n bora San kwangu. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Thank you my dear [emoji7][emoji7]
Usiwachokoze tena hawa wakulungwa [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom