mtoto una mguu mzuri wewe!Nakunja 4 na hela sinaView attachment 1950619
Mguu mzuri hata yule demu wa Post M-alone anayeringishia humu haoni ndani..Mguu wa bia nautoa wapi?
Ndyo, km mie nimeambiwa nimeanza kunenepa, mbna nawazaa kufanya diet na mazoezi, ikishindkan hapo, kukata utumbo kutahusika tyuuh.![]()



Mkuu mim nikikumbuka ya msuhubate basi acha tu nijiweke pembeni usishangae ukakuta hilo ni parody la behaviorist


Jf bhana,,unaweza kukuta kweli mzee...Jitu lina midevu ila limetengeneza parody ID..Tweeter nako michezo hii ipo sana.ThubutuuuuMguu mzuri hata yule demu wa Post M-alone anayeringishia humu haoni ndani..
Nimefurahi sana kuona watu wanafuatilia ushauri tunaotoa. Kula bata ndugu yangu. Kesho nitakuja Bagamoyo ila kwa trip ya familia na tutageuka sitakutafuta. PM kuhusu ulivyopaona hapo maeneo
Hebu tuone kapicha wa mguu laini Kama wa mtoto .Thubutuuuu
Bado sijaona wa kumfikia kwa miguu mizuri, mtoto ana mguu laini kama mkono wa mtoto, we acha tu
Hahahah,sijui mwenye hiyo ID kilimpata nini hadi akaamua kuitupa ID yake hii iliyokuwa nzuri,binafsi nilimpendahahahhahah hahahahaha una ufala....ila sijui yuko wapi paprika alikuaga real sana kama ww....
nikawa nahs umechange id
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kachezea kichapo tena?Moderator mbona mnamfanyia Behaviourist hivyo? huwa anakosea nini mpaka mnampiga ban mfululizo kiasi hiko?
haah
kachezea tena aseeKachezea kichapo tena?
nikiweka na kutag mkuu ila unasemaje mguu wa mawardatHebu tuone kapicha wa mguu laini Kama wa mtoto .
TL mtu akitengeneza naelewa kwasababu ukipata followers kule ni pesa bei. hahaha nishauza account moja kule ya 30K followers.Jf bhana,,unaweza kukuta kweli mzee...Jitu lina midevu ila limetengeneza parody ID..Tweeter nako michezo hii ipo sana.