Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Hmmmm...jikoni umeniona lini?? Nyie ndo wale huambiwaga "Baby uje na chips!" on daily basis lwa kudanganyika nyie 😁😁Ah,
Lizzy wallah we ni mzuri
lizzy umeumbwa ukaumbika, halafu ulivyo hodari jikoni umenimaliza kabisa we mtoto mpaka sasa sijui niende wapi!!