mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,551
- 45,100
Nilishaiweka humu siku nyingi sana picha yangu full , ya kwako ndio umenichomesha mahindi hadi leo hujanitumiaAfu nasubiri picha yako
Nilishaiweka humu siku nyingi sana picha yangu full , ya kwako ndio umenichomesha mahindi hadi leo hujanitumiaAfu nasubiri picha yako
We're Vere skinny... Me & Saint Anne
We lacking in flesh. Namuwakilisha my fellow skinny Mtakatifu [emoji41] Post M-alone View attachment 1946932
Unawaitia nini? We dogo jau kumbe
Dah[emoji39]shetwani shindaWe're Vere skinny... Me & Saint Anne
We lacking in flesh. Namuwakilisha my fellow skinny Mtakatifu [emoji41] Post M-alone View attachment 1946932
Kishoes kimebalansi hakiyanani [emoji3]We're Vere skinny... Me & Saint Anne
We lacking in flesh. Namuwakilisha my fellow skinny Mtakatifu [emoji41] Post M-alone View attachment 1946932
We're skinny with a lit meat meat 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanakuchukuliaga poa [emoji13][emoji13] hawakujui
Njoo tukemee 🤣🤣Dah[emoji39]shetwani shinda
Uzee huuu bas tu, ningekuwa kijana........[emoji2]
Nazielewa Samsung sababu ya hii font style. Ila sina pesa ya kuzinunua sababu ikiharibika itakaa kabatini ijute 😁Live it love it View attachment 1946935
Mwanaume hazeeki wewe.Uzee huuu bas tu, ningekuwa kijana........[emoji2]
Acha sister nina sim 3 kabatini kisa viooNazielewa Samsung sababu ya hii font style. Ila sina pesa ya kuzinunua sababu ikiharibika itakaa kabatini ijute [emoji16]
Imetosha kwanza kwa sasa woooooiiiiiiiiiiiii!! [emoji38][emoji38]We're skinny with a lit meat meat [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimeumana kwa kweli.Kimeumana tyr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Post miguu kama miguu tuone zawadi za kump, Kama ni dera, jeans, au vimino, lips Kama lips tuone kama ana lips za kike au lips tu za kufunikia meno., na jicho kama jicho tuone Kama ana jicho la kuombea hela au la kutisha watoto 🤣🤣