Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210921_191812.jpg
 
Hiyo asali ya nyuki wadogo ni nzuri sana. Mimi nilikuwa nainywa kwa wingi kadiri niwezavyo, mwanzoni inakuwa kama haikuvutii kuinywa lakini ukiizioea ni nzuri sana hasa kwa afya.

Hakikisha unakula chakula chenye nguvu na Cha kutosha utakuja kunishukuru. Kama tumbo lako haliko safi ukiinywa lazima utaendesha maana huwa inaflash uchafu usiohitajika na mafuta mwilini, lakini inakupa nguvu nyingi sana za "kuchoma" mkeo.

Nilikuwa nachoma hadi Raha ,ukipata muda ukafanya na zoezi japo hata kuruka kamba kwa dakika chache hutoiacha hiyo asali (UPULA). Kuna wakati ukuni unaenda hewani hadi unataka kung'oka ,halafu ukichoma mwanamke wako atakwambia ni wa moto na unavimbiana unatuna mithili ya kifutu aliyejeruhiwa.

UPULA ni muhimu na ni gharama sana hata kwenye manunuzi. Tena kama hiyo unayosema imetokea shamba moja kwa moja haijachakachuliwa inafaa sana sana sana sana. Kula hiyo kwa wingi utaona matokeo yake.

MUHIMU; Kama hujawahi kutumia anza kidogo kidogo maana ukiinywa kwa wingi inasababisha tumbo la kuendesha pasipo kuumwa, inalewesha na wakati mwingine kichefuchefu kwa baadhi ya watu
Umenipa shule hapa, sisi wakina masawe tunaiita nyuri kama sijakosea, asali ni tiba ya vitu vingi sana lakini iwe ya hao nyuki wadogo ni tiba sana mkuu, sishangai kufanya maajabu, watu wamekazana na mavumbi ya wakongo wakati kuna vitu asilia
 
Back
Top Bottom