Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,755
- 51,247
Display za sumsang Kariakoo hamkosi sema vipo juu kuanzia lakiAcha sister nina sim 3 kabatini kisa vioo
S5, note5 na A9 pro naziangaliaga tu.
Kioo bei ya sim used![]()
Display za sumsang Kariakoo hamkosi sema vipo juu kuanzia lakiAcha sister nina sim 3 kabatini kisa vioo
S5, note5 na A9 pro naziangaliaga tu.
Kioo bei ya sim used![]()
Nlienda nazo nikarudi nazo bei hazishikiki kioo cha s5 lisimu la zamani unaambi 150k au 100 cha kichina hakina hata ung'aavu kama kina ukungu nikarudi zanguDisplay za sumsang Kariakoo hamkosi sema vipo juu kuanzia laki
Pole, basi badili toleo la simu chukua Huawei zipo vizuriNlienda nazo nikarudi nazo bei hazishikiki kioo cha s5 lisimu la zamani unaambi 150k au 100 cha kichina hakina hata ung'aavu kama kina ukungu nikarudi zangu
Saivi nafikiria kuhamia kwenye OPPO nione maana hapa nshakaa sana saivi nina note 8 ishaweke crakes vimistari viwili hata sijaiangusha.sijui ilijibana na funguo mfukoni au coinsPole, basi badili toleo la simu chukua Huawei zipo vizuri
Hahaa mmeanza Kuingia kingiWe're Vere skinny... Me & Saint Anne
We lacking in flesh. Namuwakilisha my fellow skinny MtakatifuPost M-alone View attachment 1946932
Teh teh nilijua tu hilo ndilo lilikuwa lengo lako. Siyo mbaya endelea kuwaprovoke watume wengi zaidi halafu usisahau kutupa mrejesho.
Inategemea kama tatizo liko ndani ya warranty si unapeleka tu Samsung shop wanatengeneza bureNazielewa Samsung sababu ya hii font style. Ila sina pesa ya kuzinunua sababu ikiharibika itakaa kabatini ijute![]()
Nina ugonjwa wa kudondosha simu, hao Samsung watanikimbiza.Inategemea kama tatizo liko ndani ya warranty si unapeleka tu Samsung shop wanatengeneza bure
Anatoboa kutokea tundu lipi kwanza? Maana naona yote sio size yakeTeh teh nilijua tu hilo ndilo lilikuwa lengo lako. Siyo mbaya endelea kuwaprovoke watume wengi zaidi halafu usisahau kutupa mrejesho.
Ah,
Snap it show it.Good evening guys..
yaaani like yangu 1 zinakuja 100, wale jamaa wa andika ushinde wamenifuata sana inbox, mi nikipiga kura 1 kule zinasoma 100,😁Nilimwambia mimi
and 100 others unaona 😁
Naruhusiwa kwenda kuweka hii picha kwenye frem