Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,456
Nipo rafiki ni majukumu yalinificha tuDah long time mamito priscallia upo mama, umependeza sana
Nipo rafiki ni majukumu yalinificha tuDah long time mamito priscallia upo mama, umependeza sana
Asante sana anko, barikiwa sana na weweUnaikosaje thawabu kwa uungwana kama huu kwa mfano?! Big up
Ewaaa....asantee
Hapo mnara unasoma 3GJioni njemaView attachment 1947381
Ooooohhhh.......yeeeeessssssssssssss [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana anko, barikiwa sana na wewe
ningekuwa raisi we ungekuwa mshauri wangu, sio kwa hizo technic 🙂Vitu vya moto moto safi lizzy kama lizzy, sasa mwambie uncle wangu next week namletea ball na jersey kabisa kuna umuhimu aanze mazoezi haraka [emoji13]
Kwa niaba ya msuhbate naomba nimtag Saint Anne
Vuta picha kwa komenti zako tu mnara unasoma 3G, nikiona picha yako unasoma 4G, nikikuona wewe mwenyewe unasoma G zoooteHapo mnara unasoma 3G
Mungu anaumba jaman!!!.… jaman!!!.... jaman!!!.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyau weweVuta picha kwa komenti zako tu mnara unasoma 3G, nikiona picha yako unasoma 4G, nikikuona wewe mwenyewe unasoma G zooote
Mbona hata wewe ni mzuri tu anko 🥰Mungu anaumba jaman!!!.… jaman!!!.... jaman!!!.....
Weweee angalia usitoboe hiyo jeans hapo mbeleMungu anaumba jaman!!!.… jaman!!!.... jaman!!!.....
Mamammamamaamaaaaaa!!....Aaaaaaaawwwwwwww!!!!! Mungu anaumba jaman!!!
Asanteee....Mimi nikiwa nyau wewe unakuwa paka au siyo Binti mrembo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyau wewe
Asantee anti, [emoji3][emoji3]Mbona hata wewe ni mzuri tu anko [emoji3059]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nimecheka mno, sawa bestMbinu zako huwa nazichukua na kuzifanyia maboresho, wazee wa fursa fursa [emoji38]
Hahaaa itabidi umuelekeze bebe Lee anifanyie practiceMamammamamaamaaaaaa!!....Aaaaaaaawwwwwwww!!!!! Mungu anaumba jaman!!!
Huo mguu una namna yake ya kuupa shukrani kwa namna umeumbika, hivi umeshawahi kutafunwa vidole vyako hivyo vya miguu kwa mtindo wa kibogoyo???
[emoji28][emoji28][emoji28]Asanteee....Mimi nikiwa nyau wewe unakuwa paka au siyo Binti mrembo??