mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,550
- 45,098
AhahaaaahaaaaaShori zako
AhahaaaahaaaaaShori zako
You are crazy... You know?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeshinda salama ?My bebee
Niko salama baby wanguumeshinda salama ?
Ningetuma picha yangu full [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ungefanyaje?
Hebu tuma basi jamani mbona unatutesa hivo?Ningetuma picha yangu full [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi?? MmmmhMmmmmmmh
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hebu tuma basi jamani mbona unatutesa hivo?
Vipi hali yako??[emoji176]
hapo gudiiii roho yangu ... japo ulinikimbia leoNiko salama baby wangu
Sore beibhapo gudiiii roho yangu ... japo ulinikimbia leo
MamboVipi?? Mmmmh
🥰🥰🥰🥰Sore beib
mkuu nimecheka sana...Hiyo asali ya nyuki wadogo ni nzuri sana. Mimi nilikuwa nainywa kwa wingi kadiri niwezavyo, mwanzoni inakuwa kama haikuvutii kuinywa lakini ukiizioea ni nzuri sana hasa kwa afya.
Hakikisha unakula chakula chenye nguvu na Cha kutosha utakuja kunishukuru. Kama tumbo lako haliko safi ukiinywa lazima utaendesha maana huwa inaflash uchafu usiohitajika na mafuta mwilini, lakini inakupa nguvu nyingi sana za "kuchoma" mkeo.
Nilikuwa nachoma hadi Raha ,ukipata muda ukafanya na zoezi japo hata kuruka kamba kwa dakika chache hutoiacha hiyo asali (UPULA). Kuna wakati ukuni unaenda hewani hadi unataka kung'oka ,halafu ukichoma mwanamke wako atakwambia ni wa moto na unavimbiana unatuna mithili ya kifutu aliyejeruhiwa.
UPULA ni muhimu na ni gharama sana hata kwenye manunuzi. Tena kama hiyo unayosema imetokea shamba moja kwa moja haijachakachuliwa inafaa sana sana sana sana. Kula hiyo kwa wingi utaona matokeo yake.
MUHIMU; Kama hujawahi kutumia anza kidogo kidogo maana ukiinywa kwa wingi inasababisha tumbo la kuendesha pasipo kuumwa, inalewesha na wakati mwingine kichefuchefu kwa baadhi ya watu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Utuletee mrejeshomkuu nimecheka sana...
vile vile asante sana kwa elimu...
now nimejua...
Poa mzima??Mambo