Sura za tafadhali nipigie dah nimecheka mno 😂😂😂😂Unajua hawa watu hawaamini kama tupo sisi wengine wenye sura za 'tafadhali nipigie' yaani wao wakishaona picha za kina Sakayo kapeace Saint anne na Mzigua90 basi wanadhani wanawake wote ndiyo tuko hivyo
❤❤❤ Am speechlessView attachment 1223444
Moja haitodhuru 🤣🤣🤣,,, unitag ulipoweka sura yako sasa.
Sasa hivi ndivyo unavyotakiwa uwe mtoto wa kike,unakuwa mpole wa baridiiii. Nikisema mimi Zurri.
Natumia browser, huku tumeminywa kuona profile ya mtu, nyuzi zake za nyuma, replies nk😀😀niko kwenye avatar hapo mda tu
Mara ngapi ? Kwahiyo unataka kuminyana na mimi ?Unanitafuta eti??
Naona kama una kapresha😀😀😀oohh
Hahahaha hao watoi unadhani wanakuwaga na adabu sasa?? Wanaweza wakatoka wamefanana na mimi kwa kila kitu halafu ukaanza kunilaumu bure!!si tuna neutralize upate watoi wakali mamii!
Mshana na hii picha Leo 😅😅Ooh muda huu huu fanya mambo ila una mshindani hivyo jiandaeView attachment 1223474
Umefurahi mno niambie why uko hivyo baada ya kuona picha ya 😀😀😀😀













Jamani mgangaaaa
Ooh muda huu huu fanya mambo ila una mshindani hivyo jiandaeView attachment 1223474
Uzuri ni kuwa ukileta ubondia wa mdomo basi ndio utakutana na ubondia wa makonzi, ila ukiwa mpole na mwenye hofu ya kufanya makosa basi utakuwa katika mikono salama mno.



nishasema siwezi kuolewa na huu utata
lakini na wewe ni mtata kivyako kwahyo mtawezana
Kwenye uzi wetu ule comments za 12 hrs ago niliweka comment moja korofi inakuhusu. Nilikuwa natesti zaliWapi mpendwa mimi mvivu kusoma comments


