mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
lakini na wewe ni mtata kivyako kwahyo mtawezanaSiogopi kuolewa ila naogopa kuolewa na mwanaume mbabe na bondia yaani labda huo ubabe na ubondia wake auoneshe kwa wanaume wenzie siyo kwangu
lakini na wewe ni mtata kivyako kwahyo mtawezanaSiogopi kuolewa ila naogopa kuolewa na mwanaume mbabe na bondia yaani labda huo ubabe na ubondia wake auoneshe kwa wanaume wenzie siyo kwangu
Mbona utakuwa kama wantukana baharia hebu nikuone kwanza.No, you are just too cute for me.
MpendwaWakaka wazuri kama hawa huwakuti wanajisifu wenzangu na mimi sura za Sokwe tunasumbua mbaya, hii picha yako naihifadhi kwa matumizi yangu binafsi![]()



'haya'Unatumia neno "sunnah" vibaya. Usifanye hivyo tena.
Mwenye simu hii katoka mimi mdogo wake 😀😀😀Mpendwa![]()
Hahah aisee we uliweka wapi yako mbona siioni.
Inapendeza.Ok Zurri nimekuelewa.
Vizuri.'haya'
Ukani P.M basi maana na mie naham nikuoneNilifooter
Unanishangaza. Uliona kule kwingine? Ulinipa za uso au ulikausha?



aisee wanawake nyinyi 🤣 🤣 🤣No, you are just too cute for me.




Wapi mpendwa mimi mvivu kusoma commentsUnanishangaza. Uliona kule kwingine? Ulinipa za uso au ulikausha?![]()
Hii comment ngoja niifute😀😀😀Unanishangaza. Uliona kule kwingine? Ulinipa za uso au ulikausha?![]()
Afadhali umeandika wewe ningeandika mimi asingeamini.