Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,561
- 88,568
Ila kumbe wewe ni mzuri vile?? Hapana aise siwezi kuwa na mwanaume aliyenizidi uzuri ni dhambi hiyo!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha uoga wewe,,,huku mahaba niue..Karibu sana!