Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Nimeweka Leo.Na sura yako uliiweka???????? Kwa bahati mbaya sikuwa na time nzuri ya kupitia comments
Hebu pitia comments zA leo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeweka Leo.Na sura yako uliiweka???????? Kwa bahati mbaya sikuwa na time nzuri ya kupitia comments
Mbalizi wa nyumbani ,tena jirani yangu kabisa!

Haya nafika sehemu nitulie nipitie pitie maake nipo kwa barabara
Una uhakika na wewe sio mchoyo?Mbalizi wa nyumbani ,tena jirani yangu kabisa!
Naomba picha.
Watu wa Mbeya siyo wachoyo
Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati unasubiri kutulia, tupia picha yako niendelee kuangalia.Haya nafika sehemu nitulie nipitie pitie maake nipo kwa barabara
Nakuwaje mchoyo Jamani.Una uhakika na wewe sio mchoyo?![]()
Natamani nifike Mbeya maana kitambo sana pande hizo. Nikija lazima nikutafute we mtakatifu AnneMbalizi wa nyumbani ,tena jirani yangu kabisa!
Naomba picha.
Watu wa Mbeya siyo wachoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Sana mbalizi moja kama lilivyo jina lako.Natamani nifike Mbeya maana kitambo sana pande hizo. Nikija lazima nikutafute we mtakatifu Anne
Mbona sura umeificha?
Haina sura yako


Naomba picha basi.This is polite rejection message...
Thanks...
Am insecure about how i look...
Can I describe myself in a paragraph pls...
Haifunguki Saint Anne
Sasa hapo shida siyo Mimi.Haifunguki Saint Anne
Bas sawa Saint AnneSasa hapo shida siyo Mimi.
Shida ni simu yako na App yako.
Naomba yako Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa mkuu.
Twaenda lini?
Na vile zenji sijawahi fika!I wish to go one day.
Why insecure?
Jiamini bwana,,, hivyohivyo ulivyo.
Naomba nikuone.
Halafu nitakudescribe Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app



Kwanini huniamini?
hata sikuamini...
Nitumie ya kwako pm kwanza...