100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,790
- 30,967
Saint Anne,
nasubiri jibu...
nasubiri jibu...
Nipe muongozo.....☺Njoo tuyajenge Please.
Yani ni 👌🏾👌🏾Ladha halisi.
Nipe muongozo.....![]()

Yani ni
Ningekuwa nafanya kazi Posta ningekula kila siku![]()
. Manage a social media account.We wa kishua halafu last born msoto unaujua kweli au unausikia
Na vile vimishikaki vyao vidunchu nyama moja inaishia kwenye meno japo ni vitamu lazima tu ule vingiNjoo Coco beach unakula mishkaki Hamsini na tano na bado hujashiba![]()
Mkuu Forodhani si iko mkoa wa Mjini Magharibi na siyo Unguja au mimi ndiyo nachanganya
Mkuu Forodhani si iko mkoa wa Mjini Magharibi na siyo Unguja au mimi ndiyo nachanganya
Yeah naelewa kuwa Zanzibar ni muunganiko wa visiwa vya Unguja na PembaZanzibar inaundwa na visiwa viwili, Unguja na Pemba. Watu wengi wanaichukulia Zanzibar kama Unguja.
Nilimaanisha hiyo sehem iko Unguja ambayo ni sehem ya Zanzibar
Tupo low season send a place for one pleasePlace for two 🥂 Hornet 😁View attachment 1928052
Itakuwaje sasa wakati mi nilijiongeza nikatulia hapa??? 🤔🤔🤔Njoo Toure Drive, Karibu na light House, tuelekee coco kwenye mihogo na Mishkaki.![]()
🤝🏾🤝🏾Nikupe part time , work from home, Mshahara nusu. Manage a social media account.
Itakuwaje sasa wakati mi nilijiongeza nikatulia hapa???View attachment 1928198
Alafu nshaagiza smoothie nilikuwa nategemea sponsor uje u-sort out![]()
HiyoAm waiting![]()
Mdudu namba moja ambaye sipatani naye hata kwamba hang'ati. Hapa tu nimeiona picha yake hadi mwili umenisisimka.
Hahahaha, toa Coordinates sahihi, Kuna location kama hizi zaidi ya nne humu mjini.
Tatizo sponsor unachelewa kutoa muongozoHahahaha, toa Coordinates sahihi, Kuna location kama hizi zaidi ya nne humu mjini.
Nikikuomba twende forodhani utakubali, nauli and everything juu yangu...


