Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Anne hii sio dinner jamani 😂😂😂
Sijafikia huko bado. Nilikuwa na-crave kitu cha sukari tu so nilivyofika home nikaona chai na biscuits vitaniridhisha.
Anne hii sio dinner jamani 😂😂😂
Daah mwenyewe shule sitaki kuisikia tena aiseeMimi wa kishua?
Kama mimi wa kishua basi kila mtu wa kishua..
Mtaani msoto mkali,
Ila shule sitaki tena hata kusikia..wala sitamani tena kuisikia,,nimefinalize kila kitu.
Now wacha nizungushe maji ya kandoro jiji lenu niokoteze mia Mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuone sura jamani
Oh nshajua ukinichokoza tu kinyonga atakuhusuImetokea tu tangu nipo mtoto ilikuwa ukitaka kuniadhibu niache utundu na utukutu bas nitishie na mdudu kinyonga. Namuogopa sana hata siju-agi sababu ni nini
Rais wa Zanzibar anaishi katika mkoa wa Mjini Magharibi ambao umeungana na kisiwa cha UngujaYaani mimi nilivyokuwa mzembe,sijui hata Rais wa Zanzibar anaishi unguja au pemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nimeweka mkuu.Nitumie ya kwako pm kwanza...
Kumbe anaishi ungujaRais wa Zanzibar anaishi katika mkoa wa Mjini Magharibi ambao umeungana na kisiwa cha Unguja
Bora hata wewe utakuwa unataka kuisikiaDaah mwenyewe shule sitaki kuisikia tena aisee

Shule wengine wanaona ni kama sifa, kuna jamaa alirudi shuleni kusoma engineering eti kisa gf wake alikuwa engineer, sasa katika chatting gf alikuwa ana terminologies za ki engineer, jamaa akaona ya nini kunyanyasika akarudi kusoma engineering waende sawa eti hataki kuzidiwa, cha ajabu hata cheti hakimsaidii lolote...Daah mwenyewe shule sitaki kuisikia tena aisee
Kweli unaninyima picha!Umesikia Saint Anne,
halafu usifunike hata uso, kinyume na hapo sikutumii ng'oo!!!
Sura zenu mnafunika kwa maua maua kwanini eti?!Tuone sura jamani

Ahahahaaaa, kwa hapo utanikamata vilivyo maana nikimuona huyo mdudu hata kwa picha tu napata taabu sana, sijui kwanini sipatani nayeOh nshajua ukinichokoza tu kinyonga atakuhusu
Kweli kusoma kipaji.Shule wengine wanaona ni kama sifa, kuna jamaa alirudi shuleni kusoma engineering eti kisa gf wake alikuwa engineer, sasa katika chatting gf alikuwa ana terminologies za ki engineer, jamaa akaona ya nini kunyanyasika akarudi kusoma engineering waende sawa eti hataki kuzidiwa, cha ajabu hata cheti hakimsaidii lolote...
Kusoma ni kipaji mkuu...
Anne hii sio dinner jamani
Sijafikia huko bado. Nilikuwa na-crave kitu cha sukari tu so nilivyofika home nikaona chai na biscuits vitaniridhisha.


