Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Njaa bebe
Leo unataka ule nini ?
Njaa bebe
Kitimoto bebeLeo unataka ule nini ?
Njaa bebe
Sasa mbona umeficha sura bana?
Kitimoto bebe
Haya ndio mapigo yangu sasa. Kiwanja cha wapi hiki.
Sema hapa panaonekana patamu
Unipeleke bebeSema hapa panaonekana patamu
unazingua mtakatifu
Unipeleke bebe
Unapanda ka boat kadogo unaenda huko kufanya vitu vyako.