Nimeshajibu boss wangu.Saint Anne,
nasubiri jibu...

Mimi wa kishua?We wa kishua halafu last born msoto unaujua kweli au unausikia




Yaani mimi nilivyokuwa mzembe,sijui hata Rais wa Zanzibar anaishi unguja au pemba.Yeah naelewa kuwa Zanzibar ni muunganiko wa visiwa vya Unguja na Pemba
Ila kiujumla Zanzibar ina mikoa mitano ambayo ni Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini na Kusini, na Pemba Kaskazini na Kusini
Sema labda kwa vile watu wengi hawaufahamu huo mkoa wa Mjini Magharibi hivyo kuwarahishia ndiyo ukasema Forodhani iko Unguja right
Tatizo sponsor unachelewa kutoa muongozo
View attachment 1928282
Mpaka nimefika home yani
Kama chai inapanda njoo huku shamba
View attachment 1928283







Imetokea tu tangu nipo mtoto ilikuwa ukitaka kuniadhibu niache utundu na utukutu bas nitishie na mdudu kinyongaHahahahakwanini
. Namuogopa sana hata siju-agi sababu ni nini




Tuone basi..
Weka kwanza ya kwako tuone
Dah usitake kuniambia hata comments za leo hujapitia .Weka kwanza ya kwako tuone
Sura yangu nitakupiemu kama kweli unaitakaTuone basi..
Halafu mbalizi majirani zetu,ukininyima picha nitakushangaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm mkuu nasubiri.Sura yangu nitakupiemu kama kweli unaitaka
Na sura yako uliiweka???????? Kwa bahati mbaya sikuwa na time nzuri ya kupitia commentsDah usitake kuniambia hata comments za leo hujapitia .
Mbona nimeweka picha nyingi sana leo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app


This is polite rejection message...
Asanteee sana mkuu..
Ofa nzuri hivi,halafu bure kabisa naanzaje kukataa???
Ila isiwe tu kusafiri kwenye maji mkuu,nina phobia na maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Am insecure about how i look...Nimeshajibu boss wangu.
Kabla hayujaendelea na mjadala wa ofa hii nzuri;naomba uweke picha yako kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
This is polite rejection message...
Thanks...
Am insecure about how i look...
Can I describe myself in a paragraph pls...




.