Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,868
Kati ya vitu sipendi ni ugomvi. Sema mwenzangu hataki amani kabisa
Nahisi nimemkosea kitu kikubwa sana
Nahisi nimemkosea kitu kikubwa sana
Roho kama yako sina kwakweli hongera,
Wanasema kubali yaishe nazidi kujifunza