Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,621
- 69,357
Hahahaha mi nikichukia hata kuandika siwezi,, saiv mtu akiniboa naenda mahali pakimya narelax kwa muda nikirudi namlia timing namla kichwanahisi haujanizidi kwa kuwa short tempered mama halafu bora hata uwe unabishana na mtu mwenye hoja sasa mtanange unanoga usiombe unabishana na jitu halina hoja yaani unakosa hata nguvu za kuendelea, hayo alijisemeaga Mange Kimambi my role model kwenye kuchamba na kushusha magazeti.


