wanajf mnavyoogopa kuwa visible! ngoja tuone

Lazima tumuonjeshe utake usitake!![]()
Nitakutafuta nikunyweshe hadi utembee kwa kutambaa. Niko njiani naja![]()
Haonji ng'oooooo
Mimi na ISO hatuogopi,labda uogope wewe tu.
Basi tumekutana wote majasiriHhaaahaaa Hapana sijawahi kujiweka invisible kabisa

???
Ukiona ule uzi mwingine utahuzunikaWeeeeeeeeeeeeeee

Umekuja kuchana Mikeka ya kina Depal![]()
Ndio ya Full dose hiI? ? Kumbe amejitahidi packaging nzuri
Ukiona ule uzi mwingine utahuzunika
Bora usiuone.
Ungejua jamaa yupo serious





Ndiyo nakuja kule eti

..Ndio ya Full dose hiI? ? Kumbe amejitahidi packaging nzuri
Asante ndio yenyewe ya jamaangu mtu wa kazi
Yupo vizuriAsante ndio yenyewe ya jamaangu mtu wa kazi