Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Mkaka kajanzia vizuri nashangaa anajikataaSaguda bhana huyu ni wewe😄
Mkaka kajanzia vizuri nashangaa anajikataaSaguda bhana huyu ni wewe😄
Karma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupenda shoga,Safi Sana[emoji38][emoji38][emoji38]
Hiki kitengo mwenyekiti ni HS.
Hapo sawa, ngoja niwacheki wenyeji wangu akina Karma , Saint Anne na Heaven Sent waniongozeNdizi na carrot hata huku zipo nyingi.
Naandaa gunia la kubebea viazi na parachichi. Ukigeuka hivi unajazia na zabibu 😂 afu unatuma na shabiby
Koh koh koh ...........🙈🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻Sawa kaka
Kila uzi unaweka kijiwe cha mvinyo 😂 yaan na siku ukiunywa utatapika nakwambiaIla baba Mtumishi Pep picha haijakamilika bado[emoji1751]
Ikamilishe kabisa ili tufunge mjadala wa mvinyo.
Unatakiwa kumchagulia utakaomfanya awe comfortable hata akimaliza chupa 2.
Hajawahi kunywa, nilishamchagulia saint Anna ni tamu lakini kutwa kuijadili 😂 au basi akwende kwa Altar wine, ila haijaandikwa alcohol percent ni kama tu non alcoholic.Unatakiwa kumchagulia utakaomfanya awe comfortable hata akimaliza chupa 2.
Kodi ya mvinyo ni muhimu tulipe wote🙊
Ngoja nimtafutie madompo nimpelekee nikienda 🙊Hajawahi kunywa, nilishamchagulia saint Anna ni tamu lakini kutwa kuijadili 😂 au basi akwende kwa Altar wine, ila haijaandikwa alcohol percent ni kama tu non alcoholic.
Nasikia Altar wine ndio inatumia altareni 😂 atest hiyo.
Huyu binti msumbufuuu Saint Anne sana.
Dompo mtamuokota 🤣
Nataka nimkuze na azoee kwa haraka. Akifuzu ndiyo tunampa akina Hennessey😀Dompo mtamuokota 🤣
Tena zile za vidumu nakwambia hata glass mbili hatoboi
Utamuua 😆😆Nataka nimkuze na azoee kwa haraka. Akifuzu ndiyo tunampa akina Hennessey😀
Bageshi. Nagūbona. Gashinaga ūtalī gayanda gado gīkī? Sabaga nkoyi duze dūlye sinonu [emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545]Nilimtembelea rafiki yangu ofisini kwake na kuamua kujiselfie! Jamaa ana fight Sana kimaisha hongera broo[emoji122][emoji122]View attachment 1878284
Rusha moja ukiwa umeshikilia Cobalt au Titanium [emoji16][emoji16][emoji16]Nataka nitupie selfie inanigomea ktk attach file
HahahahaHumu stori ni nyingi kuliko picha,ngoja nitupie hii picha yangu moja niliyopigwa jana nilipotua duniani.
View attachment 1878831