Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

DAh
Juhudi zetu hazionekani?

Ukinunua na ukaiselfie hapa. ISO atafurahi sana
Natambua juhudi zenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado Mimi tu sasa kujilipua [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui itakuwa lini[emoji1787]
ISO atafurahi,tena anaweza hata kujitoa kimasomaso kunipa lift nikanunue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Juhudi zetu ni kama tunatwanga maji kwenye kinu 😂 Huelewi kitu aisee

Hebu mfurahishe ISO basi 😆
 
Enzi hizo..
IMG_20210725_110719_1.jpg
 
Juhudi zetu ni kama tunatwanga maji kwenye kinu [emoji23] Huelewi kitu aisee

Hebu mfurahishe ISO basi [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] juhudi zenu zilishazaa matunda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siwezi kuwaangusha kabisa,ISO anaongea huku anasisitiza kwa ujasiri"piga vyombo wewe"[emoji1787]
Ila mmefight sana aiseeee[emoji23][emoji23]nguvu zenu hazijapotea bure,amini nawaambia.

Kesho naleta picha ya wine humu.
 
Back
Top Bottom