Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

701D945B-086D-4DE7-8DB4-AF64CECF4B26.jpeg
 
Hajawahi kunywa, nilishamchagulia saint Anna ni tamu lakini kutwa kuijadili [emoji23] au basi akwende kwa Altar wine, ila haijaandikwa alcohol percent ni kama tu non alcoholic.

Nasikia Altar wine ndio inatumia altareni [emoji23] atest hiyo.

Huyu binti msumbufuuu Saint Anne sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Mtumishi alihamishia huu mjadala huku.
Akanipooza na selfie ili niachane na habari za mvinyo.
 
Back
Top Bottom