Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Uzuri hiyo chanjo ni hiari na imani kama alivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ugomvi na mtani wangu Mshana Jr
IMG-20210711-WA0032.jpg
 
Wanaselfika mimi mwanachama mwenzenu leo nimefanikiwa kuongeza mwaka mwingine......imetimia 28



Mwakani inabd nioe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ett??


happy birthday to me GERALD View attachment 1870953

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Happy Birthday Kalumbu

Nakutakia maisha marefu yenye baraka tele kaka

Mungu akulinde na akupe kila hitaji la moyo wako lililo jema
 
Back
Top Bottom